Here are the feelings, views and ideas of the people who visited our social media platforms like facebook, instagram and X.
Read All Reviewsnimepata mafunzo kutoka kwenu wisechoicegroup, nimeelimika sana kwenye swala zima la biashara. nipende kumpongeza Binox na timu nzima mmefanya kazi kubwa... Halaaaa
Binox
Hakika wisechoicegroupni mahala sahihi kabisa kwa mafunzo ya biashara, team yake inawatu wa maana kabisa akiwemo binox. yaan Binox ni mtu wa maana kabisa na amepoa
Binox
Kama sio wisechoicegroup ningefikaje na kujuana na watu wa mataifa ya nje, niwapongeze wote kwa kazi nzuri mnayoifanya nawaombea muendelee hivyo hivyo
Binox